BANDA LA KUANGALIA MPIRA MTANDAONI ITAZAME MECHI YA YANGA 🆚 MTIBWA HAPA
Baada ya kujihakikishia tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, kikosi cha Yanga kinahamisha nguvu zake kwenye mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC. Leo Jumanne mabingwa hao watetezi watashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo utakaopigwa saa 10 jioni. Yanga imerudi KMC Complex baada ya Serikali kusitisha kwa muda matumizi ya dimba la Mkapa kwa mechi za ndani Kocha mpya wa Yanga Petro Goncalves raia wa Ureno anatarajiwa kukiongozi kikosi chake kwa mara ya kwanza ikiwa ni siku mbili tu tangu atambulishwe kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au...