LIVE LEO: ITAZAME MECHI YA YANGA VS MTIBWA SUGAR LIVE HAPA KUPITIA SIMU YAKO

 


 Baada ya kujihakikishia tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, kikosi cha Yanga kinahamisha nguvu zake kwenye mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC.

Leo Jumanne mabingwa hao watetezi watashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo utakaopigwa saa 10 jioni.

Yanga imerudi KMC Complex baada ya Serikali kusitisha kwa muda matumizi ya dimba la Mkapa kwa mechi za ndani

Kocha mpya wa Yanga Petro Goncalves raia wa Ureno anatarajiwa kukiongozi kikosi chake kwa mara ya kwanza ikiwa ni siku mbili tu tangu atambulishwe kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara

Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza  HAPA  au Bonyeza HApa   Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk

Comments

Popular posts from this blog

LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA YANGA 🆚 KAGERA SUGAR LIVE HAPA

LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA YANGA 🆚 COASTAL UNION

LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA YANGA 🆚 COPCO FC LIVE HAPA BUREE ( CRDB CUP )