LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA SIMBA QUEENS VS MASHUJAA QUEENS LIVE HAPA
Msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake 2025/26 unazinduliwa kwa mechi za nusu fainali Ngao ya Jamii kupigwa
Baada ya kupoteza mataji yote kwa JKT Queens msimu uliopita, msimu huu Simba Queens imepania kurejesha mataji hayo Msimbazi
Kinadada wa Simba Queens watakuwa uwanjani mapema saa 7 kuumana na wenzao wa Mashujaa Queens katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex
Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk

Comments
Post a Comment