LIVE: SIMBA VS NSINGIZINI, YANGA VS SILVER SC ZITAZAME MECHI HIZI ZOTE LIVE HAPA BUREE
Wikendi hii itakuwa ni wikendi ya kibabe kwa vilabu vya Dar es salaam yaani simba na Yanga katika michuano ya klabu bingwa CAF.
Yanga watatangulia kwa kucheza na Silver strickers kutoka malawi siku ya jumamosi huku wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa awali kwa bao 1-0.
Yanga inahitaji ushindi wa angalau goli 2-0 au ushindi wowote wa kuanzia goli 2 na kuendelea ili kufanikiwa kutinga hatua ya makundi.
Wakati yanga wakiwa na ari ya kutafuta ushindi watani zao simba wao mambo hayako hivo kwani wao ushindi wowote utawabeba wao pia sare yoyote itawabeba wao.
Hizi ni mechi muhimu sana kwa vilabu vya Tanzania.
Usikose kuitazama mechi hizi LIVE kupitia Simu yako ndani ya App yetu pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk

Comments
Post a Comment