LIVE: ITAZAME MECHI YA SIMBA π NAMUNGO LIVE HAPA KUPITIA SIMU YAKO
Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea leo, ambapo macho na masikio ya mashabiki yatakuwa yameelekezwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Klabu ya Simba SC itashuka dimbani kuivaa Namungo FC katika mchezo muhimu.
Wekundu wa Msimbazi wanashuka uwanjani wakiwa na morali ya juu baada ya kushinda kwa kishindo mchezo wao wa kwanza dhidi ya Fountain Gate, ambapo walipata ushindi wa mabao 3-0. Leo wanatazamia kuendeleza mwendelezo huo ili kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi.
Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk
.jpg)
Comments
Post a Comment