LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA COASTAL UNION 🆚 SIMBA LIVE HAPA BURE
Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo Simba iko ugenini mkoani Arusha kumenyana na Coastal Union Baada ya kudondosha alama mbili katika mchezo uliopita dhidi ya Azam Fc, unaweza kusema Simba leo inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kusalia katika mbio za ubingwa Simba imeachwa alama 7 na Yanga inayoongoza ligi lakini Mnyama ana mechi mbili za viporo ukiwemo huu wa Coastal Union unaoipigwa leo Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mechi hii hawana nafasi ya kufanya makosa kwani matokeo tofauti na ushindi yanaweza kuongeza presha kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa wiki ijayo, March 08 Usikose kuitazama mechi hii ya COASTAL UNION 🆚 SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This fil...