LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA SIMBA 🆚 TANZANIA PRISON LIVE HAPA
Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo katika uwanja wa KMC Complex, Simba itakuwa na nafasi ya kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi pale itakapoikaribisha Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa saa 10:15 jioni
Alama tatu kwa Simba katika mchezo huo, zitawahakikishia Wekundu hao wa Msimbazi kurudi juu ya msimamo na kuwashusha chini watani zao Yanga ambao watakuwa wamekaa japo juu kwa takribani siku tatu tu
Ni wazi hautakuwa mchezo mwepesi, tangu kuanza kwa duru ya pili Prisons wanaonekana kuimarika, wakishinda mechi mbili zilizopita dhidi ya Pamba Jiji na Mashujaa Fc
Kwa Simba hii ni mechi muhimu sana na hakuna nafasi ya kufanya makosa baada ya kile kilichotokea katika mchezo uliopita dhidi ya Fountain Gate ambapo Simba ililazimishwa matokeo ya sare ya bao 1-1
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema kikosi chake kiko tayari na leo watahakikisha wanashinda mchezo huo
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.



Comments
Post a Comment