LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA MASHUJAA 🆚 YANGA LIVE HAPA
Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga wako mkoani Kigoma kumenyana na Mashujaa Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Lake Tanganyika
Ni mechi yenye mvuto wa aina yake ukizikutanisha timu zenye malengo tofauti
Yanga inazihitaji alama tatu ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi wakati Mashujaa Fc nao wanazitaka alama hizo tatu ili kujiweka eneo salama katika msimamo
Katika mechi ya kwanza iliyopigwa jijini Dar es salaam Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-2, mchezo ukiwa na upinzani mkali
Hivyo ni wazi mechi ya leo itakuwa na upinzani mkali lakini kwa Wananchi, ni mchezo ambao alama tatu ndio matokeo pekee yanayohitajika
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
Au hapa chini
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.



Comments
Post a Comment