LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA SIMBA VS GREEN LAND LIVE HAPA
Kikosi cha Simba leo kinaanza kampeni ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB kwa kuikabili Greenland Fc kutoka Kagera katika mchezo wa hatua ya 64 bora.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 1 usiku katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni jijini Dar es salaam.
Baada ya kulikosa taji la CRDB kwa misimu minne mfululizo, msimu huu Simba inaingia kwenye michuano hiyo ikiwa na dhamira ya kufika fainali na pengine kuibuka mabingwa.
Usikose kutazama mechi zote zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA kumbuka app bado hayujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK hivo ikileta neno harmful usiogope ni kwasababu bado hatujaiweka playstore

Comments
Post a Comment