LIVE: ITAZAME MECHI YA STADE MALIEN VS SIMBA SC LIVE HAPA BUREE KUPITIA SIMU YAKO
Mikiki mikiki ya mechi za Makundi ligi ya Mabingwa barani Africa ( CAFCL ) inaendelea leo ambapo klabu ya Simba iko ugenini Mali kuchuana na Stade Malien.
Ni mechi ya raundi ya pili kundi D itakayopigwa saa 1 usiku kwa saa za Tanzania huko mali ikiwa ni saa 10 jioni.
Baada ya kupoteza mechi ya raundi ya kwanza Simba leo inahitaji ushindi ili kusogea nafasi ya pili katika msimamo wa kundi D
Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA kumbuka app bado hayujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK hivo ikileta neno harmful usiogope ni kwassbabu bado hatujaiweka playstore.

Comments
Post a Comment