LIVE MUDA HUU: TAZAMA LIVE TAMASHA LA SIMBA DAY HAPA
Jumatano ya leo Septemba 10 ni Simba Day pale katika dimba la Benjamin Mkapa, mnyama kutambulisha kwa mashabiki wachezaji na benchi lake la ufundi kwa msimu 2025/2026.
Shughuli hii itahitimishwa kwa mechi ya kimataifa ya kirafiki baina ya Simba SC dhidi ya Gor Mahia FC kutoka Kenya.
Shughuli hii nzima itakuwa mbashara kupitia App yetu.
Usikose kutazama Matamasha hayo na Usikose kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Comments
Post a Comment