LIVE: ITAZAME MECHI YA YANGA VS WILIETE FC LIVE HAPA BUREEEE
Wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga walianzia ugenini na kupata ushindi, wikiendi hii wanacheza nyumbani mechi za marudiano.
Jumamosi, Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Wiliete Sports Clube, kutoka Angola.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia App yetu.
Wananchi wanaingia katika mchezo huu wakiwa na mtaji wa magoli matatu walioupata mechi ya kwanza.
Jumapili, Simba SC atakuwa mwenyeji wa Gaborone United kutoka Botswana katika dimba la Benjamin Mkapa.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia App yetu.
Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli moja.
Usikose kutazama mechi hizi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Comments
Post a Comment