LIVE: ITAZAME MECHI YA SIMBA SC π GABORONE LIVE HAPA
Leo jioni saa 10, macho ya mashabiki wa Simba nchini yatakuwa yameelekezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo Simba SC itashuka dimbani kuikabili Gaborone United ya Botswana katika mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League).
Simba inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na faida ya ushindi wa bao 1-0 walioupata wiki iliyopita jijini Gaborone. Matokeo hayo yanawapa wekundu wa Msimbazi nafasi nzuri ya kutinga raundi ya kwanza ya michuano hiyo mikubwa barani, kwani wanahitaji ama ushindi mwingine au hata sare ili kusonga mbele.
Hata hivyo leo Simba itacheza bila ya mashabiki wake ndani ya dimba la Mkapa, baada ya CAF kuiadhibu.
Usikose kuitazama mechi hii LIVE kupitia Simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama mechi zote za LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA, MASHINDANO YA CAF LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au Bonyeza HApa Au hapa pia kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

Comments
Post a Comment