LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA RAYON SPORT π YANGA LIVE HAPA
Leo Ijumaa majira ya saa 1 usiku, Yanga itashuka uwanja wa Amahoro huko Rwanda kuikabili Rayon Sports katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki
Yanga imeitikia mualiko wa wenyeji wao hao ambao wanazindua msimu 'RAYON DAY'
Kikosi cha Yanga kilitua Rwanda juzi usiku ambapo jana walifanya matukio mbalimbali ya kijamii na mwishoni wakapata nafasi ya kufanya mazoezi yao ya mwisho
Yanga ni timu pendwa Rwanda, dimba la Amahoro leo linatarajiwa kuwa 'full-house' kuwashuhudia Wananchi katika mchezo huo ambao msingi wake ni kudumisha mahusiano mazuri kati ya Yanga na Rayon
Usikose kuitazama mechi hii pamoja na michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app pia ikileta neno its harmful usiogop hii ni kwasababu app bado hatujaiweka playstore ni Apk

Comments
Post a Comment